Rais Dkt.Samia aweka jiwe la msingi ujenzi kampasi mpya Chuo Kikuu Mzumbe

MOROGORO-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa Chuo Kikuu Mzumbe kampasi mpya katika eneo la Maekani mkoani Morogoro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi Mpya eneo la Maekani Mzumbe Morogoro tarehe 4 Agosti, 2024 ikiwa ni muendelezo wa Ziara yake Mkoani Morogoro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Profesa William Mwegoha juu ya maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi Mpya eneo la Maekani Morogoro tarehe 4 Agosti, 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news