Rais Dkt.Samia azindua barabara ya Kidatu hadi Ifakara

MOROGORO-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan tarehe 4 Agosti, 2024 amezindua Daraja la Mto Ruaha Mkuu lenye urefu wa mita 133 na barabara ya kiwango cha lami kutoka Kidatu kuelekea Ifakara yenye urefu wa kilomita 66.9 ambayo ujenzi wake umegharimu shilingi bilioni 157.
Mheshimiwa Rais Dkt.Samia yupo katika ziara ya kikazi mkoani Morogoro ambayo imeanza tangu Agosti 2,2024 ikijumuisha uzinduzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news