Rais Dkt.Samia azindua utalii wa kasa Pango la Salaam Kizimkazi

ZANZIBAR-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Agosti 24,2024 amezindua Utalii wa Kasa katika Pango la Salaam lililopo Kizimkazi Dimbani Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Utalii wa Kasa katika Pango la Salaam, Kizimkazi Dimbani mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 24 Agosti, 2024.
Matukio mbalimbali wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Wananchi waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa Utalii wa Kasa katika Pango la Salaam (Salaam-Cave)Kizimkazi Dimbani Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 24 Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi pamoja na wananchi waliojumuika kwenye halfa ya uzinduzi wa Utalii wa Kasa katika Pango la Salaam, Kizimkazi Dimbani Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 24 Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo ametembelea mabanda mbalimbali ya maonesho yaliyopo Kizimkazi Dimbani kuelekea kwenye kilele cha Tamasha la Kizimkazi katika Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 24 Agosti, 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news