Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt.Samia azindua na kugawa ndege za mafunzo, mabasi kwa JWTZ

DAR-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua na kugawa ndege za mafunzo ya awali ya marubani na mabasi ya usafirishaji kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Viongozi wengine katika hafla fupi ya uzinduzi na kukabidhi ndege za mafunzo ya awali ya Marubani na mabasi ya usafirishaji kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika hafla iliyofanyika katika Kikosi cha Usafirishaji Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Viongozi wengine wakati Wimbo wa Taifa ukiimbwa kabla ya hafla fupi ya uzinduzi na kukabidhi ndege za mafunzo ya awali ya Marubani na mabasi ya usafirishaji kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika hafla iliyofanyika katika Kikosi cha Usafirishaji Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Maafisa na Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakati wa hafla ya uzinduzi na kukabidhi ndege za mafunzo ya awali ya Marubani na mabasi ya usafirishaji kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika hafla iliyofanyika katika Kikosi cha Usafirishaji Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria kuzindua na kukabidhi ndege za mafunzo ya awali ya Marubani na mabasi ya usafirishaji kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwenye hafla iliyofanyika katika Kikosi cha Usafirishaji Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Maafisa na Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakati wa hafla ya uzinduzi na kukabidhi ndege za mafunzo ya awali ya Marubani na mabasi ya usafirishaji kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika hafla iliyofanyika katika Kikosi cha Usafirishaji Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Viongozi wengine katika hafla fupi ya uzinduzi na kukabidhi ndege za mafunzo ya awali ya Marubani na mabasi ya usafirishaji kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika hafla iliyofanyika katika Kikosi cha Usafirishaji Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Agosti, 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news