Rais Dkt.Samia apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Uingereza nchini

DAR-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Uingereza hapa nchini, Mhe. Marianne Young. Ni kupitia hafla iliyofanyika Agosti 12,2024 Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Uingereza hapa nchini, Mhe. Marianne Young.
Balozi Mteule wa Uingereza hapa nchini, Mhe. Marianne Young akisaini kitabu cha wageni Agosti 12,2024 Ikulu jijini Dar es Salaam.
Balozi Mteule wa Uingereza hapa nchini, Mhe. Marianne Young akisaini kitabu cha wageni Agosti 12,2024 Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mteule wa Uingereza hapa nchini, Mhe. Marianne Young baada ya kuwasilisha Hati za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news