Serikali yaanza kukodisha mashamba ya Gawal na Bassotu kwa msimu wa kilimo

MANYARA-Halmashauri ya Wilaya ya Hanang' mkoani Manyara inawatangazia wananchi wote, watu binafsi na taasisi binafsi kuwa, wana nafasi ya kuomba mashamba ya halmashauri yaliyopo eneo la Gawal lenye ukumbwa wa hekari 575 na Bassotu lenye ukubwa wa hekari 8,506.1;

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news