Shule ya Sekondari Kusini yatwaa ubingwa Kizimkazi Samia Youth Cup 2024

ZANZIBAR-Timu ya Shule ya Sekondari Kusini jijini Zanzibar imetawazwa kuwa mabingwa wa Kizimkazi Samia Youth Cup 2024 baada ya kuifunga Shule ya Sekondari Muyuni jumla ya magoli 3-0.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikabidhi Kombe kwa Mabingwa wa Kizimkazi Samia Youth Cup 2024 ambayo ni timu ya Shule ya Sekondari Kusini mara baada ya kuifunga Shule ya Sekondari Muyuni jumla ya magoli 3-0 katika mchezo wa fainali uliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Zanzibar tarehe 24 Agosti 2024 ikiwa ni shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifuatilia mchezo wa mpira wa miguu fainali ya Kizimkazi Samia Youth Cup 2024 baina ya Shule ya Sekondari ya Kusini na Shule ya Sekondari Muyuni uliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Zanzibar tarehe 24 Agosti 2024 ikiwa ni shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi.

Ni katika mchezo wa fainali uliopigwa leo Agosti 24,2024 ka Uwanja wa New Amaan Zanzibar ikiwa ni shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news