Simba SC tupo tayari kwa Tabora United-Kocha Mkuu

DAR-Kocha Mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids amesema, kikosi chake kipo tayari kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara dhidi ya Tabora United utakaopigwa Uwanja wa KMC saa 10:15 jioni leo Agosti 18,2025.
“Timu ipo tayari kwa kuanza Ligi Kuu, kikosi chetu kipo kwenye umbo bora la kiushindani na mawasiliano ndani ya uwanjani yameendelea kuimarika.

“Leonel Ateba amejiunga nasi juzi amefanyiwa vipimo vya afya na amefanya mazoezi ya jioni kwahiyo inategemea na utimamu wake wa mwili kama ataweza kuwa sehemu ya mchezo wa kesho,” amesema Fadlu.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news