Simon Msuva asaini mwaka mmoja Al Talaba SC ya Iraq

NA DIRAMAKINI

WINGA Mtanzania Simon Msuva amesajiliwa na Klabu ya Al Talaba inayoshiriki Ligi Kuu ya Iraq akitokea Al Najmah ya Saudi Arabia.
Msuva mwenye umri wa miaka 30 ataitumikia Klabu ya Al Talaba SC ya Iraq kwa kandarasi ya mwaka mmoja ambao utadumu hadi mwaka 2025.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news