TARIFA KWA UMMA KUHUSU KUSITISHA HUDUMA KWA WANACHAMA WA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF) KATIKA HOSPITALI ZA AGA KHAN

DODOMA-"Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), unakiri kupokea maombi ya Hospitali ya Aga Khan ya kusitisha utoaji wa huduma za matibabu kwa wanachama wa NHIF kutokana na sababu za kiundeshaji za hospitali hiyo ifikapo Agosti 13, 2024.

"Kwa mujibu wa Mkataba baina ya Mfuko na Mtoa Huduma, upande wowote unayo haki ya kuomba kusitisha au kuendendelea na utoaji wa huduma, hivyo Agha Khan kama ilivyo kwa
vituo vingine anao uhuru wa kutumia haki ya kimkataba;

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news