"Suala la Nishati Safi ya Kupikia limekuwa ajenda muhimu sana hapa nchini na duniani kote,na hii si kwa bahati mbaya ni kwa sababu Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndiye amekuwa kinara wa ajenda hii bapa Afrika,"Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe Dkt. Doto leo Agosti 23, 2024 katika Kongamano la Nishati Safi ya Kupikia lililofanyika katika Hoteli ya Kwanza, Kizimkazi-Zanzibar.