VIDEO:Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) tupo Nanenane

DODOMA-"Katika Maonesho haya ya Wakulima Nanenane ambayo yanafanyika Kitaifa mkoani Dodoma, NHIF tupo ndani ya viwanja hivi kwa ajili ya kutoa elimu kwa wananchi, umuhimu wa kuwa na bima ya afya.
"Tunasajili wananchi ambao wapo tayari kuchukua maamuzi ya kujiunga na huduma zetu, lakini pia tunao wanachama wetu ambao wana changamoto mbalimbali wanazopitia wakati wa kupata matibabu, basi watakapofika katika banda letu ambalo lipo ndani ya wizara watatukuta na tutawatatulia changamoto mbalimbali ambazo wanakutana nazo,"amesisitiza Kaimu Meneja Uhusiano wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),Grace Michael.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news