VIDEO:Waziri Mavunde,ninawapongeza NHC mmezingatia ubora

“Nichukue fursa hii kwanza kabisa kuwapongeza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ambaye ni Mkandarasi wetu kwenye ujenzi wa jengo letu la Wizara ya Madini, kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na mabadiliko makubwa sana, binafsi nimeridhishwa na namna ujenzi huu unavyoendelea, mmezingatia ubora mkubwa sana na kwa matakwa na mahitaji yetu Wizara ya Madini, kwa hiyo matumani yangu kama mlivyosema vifaa vyote viko hapa, mmekamilisha hatua chache tukamilishe ujenzi huu ndani ya muda ambao tumeutamka wa miezi miwili kutoka sasa,"Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde, akielezea kuridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Mradi wa Jengo la Makao Makuu ya Wizara ya Madini Mtumba Jijini Dodoma, Agosti 09, 2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news