SHINYANGA-Washiriki wa mafunzo ya Waandikishaji Wasaidizi na Waendesha vifaa vya Bayometriki wa Tarafa ya Kishapu yenye kata 11 wamekula kiapo cha kujitoa uanachama wa chama cha siasa na kutunza siri wakati wa mafunzo yaliyofanyika Agosti 18, 2024 katika ukumbi wa Kishapu Sekondari iliyopo Halmashauri ya Kishapu mkoani Shinyanga.


Tags
Daftari la Kudumu la Wapiga Kura
Habari
INEC Tanzania
Picha
Picha Chaguo la Mhariri
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi