Wakili Mkuu wa Serikali,Dkt.Ally Possi akabidhiwa ofisi

DAR-Aliyekuwa Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Boniphace Luhende leo Agosti 21,2024 jijini Dar es Salaam amemkabidhi ofisi Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi baada ya kuteuliwa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (kushoto) akizungumza na aliyekuwa Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Boniphace Luhende muda mfupi kabla ya kukabidhiwa Ofisi kwenye hafla iliyofanyika kwenye Ofisi hiyo jijini Dar es Salaam.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama kushoto) akipokea nyaraka za makabidhiano kutoka kwa aliyekuwa Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Boniphace Luhende mara baada ya kukabidhiwa Ofisi kwenye hafla iliyofanyika Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali jijini Dar es Salaam.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyesimama katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo mara baada ya kukabidhiwa Ofisi na aliyekuwa Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Boniphace Luhende. Makabidhiano hayo yamefanyika kwenye Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali jijini Dar es Salaam.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news