DODOMA-Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt.Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ameungana na abiria wengine kutumia usafiri wa treni ya mwendo kasi (SGR) kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma na kuonja ladha ya usafiri huo ambao Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anafanya kila jitihada kuhakikisha kuwa mradi huo wa kimkakati unafika nchini kote na kuchangia kuchochea biashara katika ukanda wa Maziwa Makuu. Aliyekaa pembeni yake ni Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Afya, Mhandisi Ismail Hassan Rumatila.
Tags
Dr Mwigulu Lameck Nchemba
Habari
Picha
Picha Chaguo la Mhariri
SGR Tanzania
Wizara ya Fedha Tanzania