Waziri Kombo afanya ziara Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim (CFR)

DAR-Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) leo ametembelea Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim (CFR) na kuzungumza na Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi wa Kituo Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi, Kaimu Mkurugenzi wa Kituo, Dkt. Felix Wandwe, ndc, baadhi ya Wakuu wa Idara na Maafisa Waandamizi wa Wizara na Kituo cha CFR.
Mheshimiwa Balozi Kombo alipata fursa ya kutembelea mradi wa ujenzi wa vyumba vya mihadhara pamoja na kuzungumza na washiriki wa mafunzo ya muda mfupi kutoka Taasisi za Umma na Sekta binafsi kuhusu Stadi za Uongozi na Majadiliano.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news