Waziri Mkuu afanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Cuba jijini Havana

HAVANA-Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Kassim Majaliwa amefanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Cuba, Mheshimiwa Salvador Valdes Mesa jijini Havana,Cuba.
Makamu wa Rais wa Cuba, Mheshimiwa Salvador Valdes Mesa akiteta jambo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Kassim Majaliwa. Mazungumzo hayo yamefanyika Agosti 13, 2024 Revolutionary Square, Havana nchini Cuba.
Makamu wa Rais wa Cuba, Mheshimiwa Salvador Valdes Mesa (kulia) akimkaribisha Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaliwa ofisini kwake Agosti 13,2024. Viongozi hao wamefanya mazungumzo ambayo pia yamehudhuriwa na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Cuba,Mheshimiwa Humphrey Polepole (kushoto) ambapo yamefanyika Revolutionary Square, Havana.
Makamu wa Rais wa Cuba, Mheshimiwa Salvador Valdes Mesa (kulia) akimkaribisha Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaliwa ofisini kwake Agosti 13,2024. Viongozi hao wamefanya mazungumzo ambayo pia yamehudhuriwa na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Cuba,Mheshimiwa Humphrey Polepole (hayupo pichani) ambapo yamefanyika Revolutionary Square, Havana.
Makamu wa Rais wa Cuba, Mheshimiwa Salvador Valdes Mesa (kulia) akimkaribisha Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaliwa ofisini kwake Agosti 13,2024. Viongozi hao wamefanya mazungumzo ambayo pia yamehudhuriwa na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Cuba,Mheshimiwa Humphrey Polepole (kushoto) ambapo yamefanyika Revolutionary Square, Havana.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi ya picha yenye vivutio vya Utalii Tanzania, Makamu wa Rais wa Cuba, Mheshimiwa Salvador Valdes Mesa (kulia) ofisini kwake Agosti 13,2024. Viongozi hao wamefanya mazungumzo ambayo pia yamehudhuriwa na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Cuba,Mheshimiwa Humphrey Polepole (kushoto) ambapo yamefanyika Revolutionary Square, Havana.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Kassim Majaliwa akimuonesha Makamu wa Rais wa Cuba, Mheshimiwa Salvador Valdes Mesa (kulia) baadhi ya vivutio vya Utalii Tanzania ofisini kwake Agosti 13,2024. Viongozi hao wamefanya mazungumzo ambayo pia yamehudhuriwa na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Cuba,Mheshimiwa Humphrey Polepole (kushoto) ambapo yamefanyika Revolutionary Square, Havana.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news