Waziri Mkuu amuwakilisha Rais Dkt.Samia kwenye Maadhimisho ya Miaka ya KIST

ZANZIBAR-Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Agosti 27, 2024 anamuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya miaka 50 ya Idara ya Ujenzi ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume (KIST).
Hafla hiyo inafanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip jijini Zanzibar.
Kaulimbiu ya Maadhimisho hayo ni “Uimarishaji wa Taaluma ya Uhandisi Ujenzi kwa Maendeleo Endelevu ya Nchi”.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news