Waziri Mkuu arejea nchini kutoka Cuba

DAR-Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akitoka nchini Cuba ambako alifanya ziara maalum ya kuboresha mahusiano kati ya nchi hiyo na Tanzania. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news