Waziri Ridhiwani Kikwete ateta na kijana Saidano Lucas Mmbago

DODOMA-Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana , Ajira na Wenye Ulemavu Mhe, Ridhiwani Kikwete amekutana na kuzungumza na Kijana wenye Ulemavu, Bw. Saidano Lucas Mmbago jijini Dodoma.
Aidha, katika kikao hicho, Mheshimiwa Waziri Ridhiwani amemwelezea kijana huyo mikakati ya Serikali katika kuwahudumia Watu wenye Ulemavu nchini ili kukuza ustawi wa kundi hilo. Kikao hicho kimehudhuriwa pia na Afisa Ustawi wa Jamii Mkuu, Kitengo cha Huduma Kwa Watu wenye Ulemavu,Bi. Joy Gladys Maongezi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news