DODOMA-Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete ametoa taarifa kwa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii kuhusu muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Hifadhi ya Jamii Mwaka 2024, Bungeni jijini Dodoma leo tarehe 14 Agosti, 2024.
Aidha, katika kikao hicho ameshiriki pia Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Patrobas Katambi, Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo, Mary Maganga pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo, Zuhura Yunus.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete akitoa taarifa kwa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii kuhusu muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Hifadhi ya Jamii Mwaka 2024, Bungeni jijini Dodoma leo tarehe 14 Agosti, 2024.

Tags
Habari
Hifadhi za Jamii Tanzania
Kamati ya Bunge
Ofisi ya Waziri Mkuu
Picha
Picha Chaguo la Mhariri
Ridhiwani Jakaya Mrisho Kikwete
Ridhiwani Kikwete