GEITA- Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) leo Agosti 12, 2024 amezuru kaburi la aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Serikali ya Awamu ya Tano, hayati Dkt. John Pombe Joseph Magufuli wilayani Chato mkoani Geita.


Tags
Dkt.John Pombe Joseph Magufuli
Dr Mwigulu Lameck Nchemba
Habari
Makumbusho ya Magufuli
Picha
Picha Chaguo la Mhariri