HomeAfya Wizara ya Afya yatoa taarifa mpya kuhusu tishio la ugonjwa wa Mpox DAR-Licha ya mlipuko wa ugonjwa wa Mpox kuibua hali ya wasiwasi wa kiafya duniani, Wizara ya Afya Tanzania imeendelea kuwatoa wasiwasi wananchi kuhusu ugonjwa huo. Tags Afya Habari Mpox Facebook Twitter