Yanga kweli ninyi ni Taifa kubwa,viwanja viwili vimejaa-Rais Dkt.Samia

MOROGORO-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Agosti 4,2024 amezungumza kwa simu kutokea Ifakara mkoani Morogoro na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.Philip Mpango ambaye ni mgeni rasmi kwenye kilele cha Siku ya Wananchi katika Uwanja wa Mkapa jijini Dar Es salaam.
"Baada ya siku nzuri ya kazi mkoani Morogoro (Mzumbe, Mikumi, Ruaha, Kilombero na Ifakara), nimepata wasaa kufuatilia kilele cha Wiki ya Mwananchi 2024 kupitia runinga. Ninyi kweli Taifa Kubwa, viwanja viwili vimejaa. Nawatakia kila la kheri katika msimu mpya wa Ligi Kuu."

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news