Azam FC yafagia benchi la ufundi, Youssouph Dabo ndiyo kwaheri

DAR-Bodi ya Wakurugenzi ya Azam FC na Kocha Youssouph Dabo leo Septemba 3,2024 wamefikia makubaliano ya pande mbili ya kutoendelea kufanya kazi pamoja.
Dabo aliyehudumu katika klabu hiyo kwa kipindi cha mwaka mmoja, anaondoka pamoja na wasaidizi wake wote wa benchi la ufundi aliokuja nao.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news