Balozi Mshana ateta na Waziri Mkuu wa DRC

KINSHASA-Balozi wa Tanzania nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Mhe. Said Juma Mshana amekutana na Waziri Mkuu wa DRC, Mhe. Judith Simunwa Tuluka jijini Kinshasa Septemba 11, 2024. Mhe. Mshana kwa niaba ya Serikali ya Tanzania alitumia fursa hiyo kuwasilisha salamu za pongezi kwa Mhe. Waziri Mkuu kwa kuaminiwa na kuteuliwa na Rais wa nchi hiyo, Mhe. Felix Antoine Tshisekedi kushika wadhifa huo muhimu katika Serikali ya DRC.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news