Dkt.Biteko ahimiza wanawake kutumia mifuko ya uwekezaji wananchi kiuchumi

SINGIDA-Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewahimiza wanawake nchini kutumia fursa ya mifuko ya uwezeshaji wananchi kiuchumi kwa ajili ya kukopa na kujiongezea vipato.
Dkt. Biteko ametoa rai hiyo leo Septemba 14, 2024 mkoani Singida wakati akimwalilisha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa kwenye Kilele cha Maonesho ya Saba ya Mifuko na Programu za Uwezeshaji kwa mwaka 2024.TAZAMA HAPA CHINI;

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news