Dkt.Natu ateta na ujumbe kutoka Benki ya Dunia,IMF na COMSEC

NA ASIA SINGANO
WF Dodoma

KATIBU Mkuu, Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El maamry Mwamba, amekutana na Ujumbe wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Benki ya Dunia (WB) na Sekretarieti ya Jumuiya ya Madola (COMSEC), kwa ajili ya kufunga zoezi la kutathmini ubora wa Takwimu za Madeni ya Sekta ya Umma (PSDS) nchini Tanzania.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, akiongoza mkutano na Ujumbe wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Benki ya Dunia (WB) na Sekretarieti ya Jumuiya ya Madola (COMSEC), kwa ajili ya kufunga zoezi la kutathmini ubora wa Takwimu za Madeni ya Sekta ya Umma (PSDS), kilichofanyika jijini Dodoma.
Naibu Mkuu Divisheni, Divisheni ya Fedha za Serikali, Idara ya Takwimu, Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) Bw. Andrew Kitili, akizungumza wakati wa kikao na katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha ambapo aliishukuru Serikali ya Tanzania kwa kutoa ushirikiano wakati wakifanya tathmini ubora wa Takwimu za Madeni ya Sekta ya Umma (PSDS), kilichofanyika jijini Dodoma.
Kamishna wa Idara ya Usimamizi wa Madeni, Wizara ya Fedha, Bw. Japhet Justine, (kushoto), Kamishna Msaidizi Idara ya Usimamizi wa Madeni, Wizara ya Fedha, Bw Omary Khama (katikati) na Mchumi, Idara ya Usimamizi wa Madeni, Wizara ya Fedha, Bw. Jahnson Msami wakiwa katika mkutano wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba na Ujumbe wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Benki ya Dunia (WB) na Sekretarieti ya Jumuiya ya Madola (COMSEC), kwa ajili ya kufunga zoezi la kutathmini ubora wa Takwimu za Madeni ya Sekta ya Umma (PSDS), kilichofanyika jijini Dodoma.
Kamishna wa Idara ya Usimamizi wa Madeni, Wizara ya Fedha, Bw. Japhet Justine akizungumza wakati wa kikao na Ujumbe wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), uliyoambatana na wajumbe kutoka Benki ya Dunia (WB) na Sekretarieti ya Jumuiya ya Madola (COMSEC), kwa ajili ya kufunga zoezi la kutathmini ubora wa Takwimu za Madeni ya Sekta ya Umma (PSDS), kilichofanyika jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, akizungumza wakati wa kikao na Ujumbe wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Benki ya Dunia (WB) na Sekretarieti ya Jumuiya ya Madola (COMSEC), kwa ajili ya kufunga zoezi la kutathmini ubora wa Takwimu za Madeni ya Sekta ya Umma (PSDS)), kilichofanyika jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba (kulia) akiagana na Naibu Mkuu Divisheni, Divisheni ya Fedha za Serikali, Idara ya Takwimu, Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) Bw. Andrew Kitili, baada ya kikao cha kufunga zoezi la kutathmini ubora wa Takwimu za Madeni ya Sekta ya Umma (PSDS), kilichofanyika jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, (katikati), Naibu Mkuu Divisheni, Divisheni ya Fedha za Serikali, Idara ya Takwimu, Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) Bw. Andrew Kitili, Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) Bw. Andrew Kitili (kulia kwake), wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe kutoka Wizara ya Fedha, Benki ya Dunia (WB) na Sekretarieti ya Jumuiya ya Madola (COMSEC) baada ya kumalizika kikao cha kufunga zoezi la kutathmini ubora wa Takwimu za Madeni ya Sekta ya Umma (PSDS), kilichofanyika Jijini Dodoma.(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha- Dodoma).

Zoezi hilo lilifanywa kuanzia tarehe 23 hadi 27 Septemba 2024 ambapo ujumbe huo ulikutana na Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Wizara mbalimbali na Taasisi za Serikali ambapo pamoja na mambo mengine tathmini hiyo ililenga kuangalia na kubaini ubora na mapungufu yaliyopo katika ukusanyaji, uchakataji na usambazaji wa takwimu hizo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news