Dkt.Yonazi aongoza kikao cha Makatibu Wakuu kuhusu kusomana kwa Mifumo ya TEHAMA

DODOMA-Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt. Jim Yonazi ameongoza kikao cha Makatibu Wakuu kuhusu utekelezaji wa maelekezo ya mamlaka kuhusu mifumo ya TEHAMA kusomana, kikao kilifanyika terehe 27 Septemba, 2024 katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dodoma
Aidha, kikao kilihusisha Makatibu Wakuu ikiwemo wa Ofisi ya Rais Ikulu, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utimishi wa Umma na Utawala Bora (UTUMISHI), TAMISEMI, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news