Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Septemba 10,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 20.87 na kuuzwa kwa shilingi 20.92 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.43 na kuuzwa kwa shilingi 1.54.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Septemba 10, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.69 na kuuzwa kwa shilingi 0.73 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.92 na kuuzwa kwa shilingi 0.93.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2676.98 na kuuzwa kwa shilingi 2703.75 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8766.92 na kuuzwa kwa shilingi 8848.79.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3502.56 na kuuzwa kwa shilingi 3529.48 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.97 na kuuzwa kwa shilingi 2.3.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1973.45 na kuuzwa kwa shilingi 1992.48 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 3155.33 na kuuzwa kwa shilingi 3185.75.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 258.12 na kuuzwa kwa shilingi 260.69 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 149.62 na kuuzwa kwa shilingi 151.08.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 728.30 na kuuzwa kwa shilingi 736.09 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 171.78 na kuuzwa kwa shilingi 173.30.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.50 na kuuzwa kwa shilingi 0.51 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2955.92 na kuuzwa kwa shilingi 2986.02.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1780.73 na kuuzwa kwa shilingi 1799.62 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3558.05 na kuuzwa kwa shilingi 3693.63.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today September 10th,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED728.8862736.0948732.490510-Sep-24
2ATS171.7819173.3039172.542910-Sep-24
3AUD1780.72721799.6161790.171610-Sep-24
4BEF58.596559.115158.855810-Sep-24
5BIF0.9270.92840.927710-Sep-24
6CAD1973.44651992.44651982.946510-Sep-24
7CHF3155.32793185.75473170.541310-Sep-24
8CNY376.234379.9856378.109810-Sep-24
9DEM1072.6371219.27851145.957710-Sep-24
10DKK396.2199400.1643398.192110-Sep-24
11ESP14.206814.332114.269410-Sep-24
12EUR2955.92152986.02152970.971510-Sep-24
13FIM397.5556401.0784399.31710-Sep-24
14FRF360.3565363.5441361.950310-Sep-24
15GBP3502.56093539.47913521.0210-Sep-24
16HKD343.3347346.7591345.046910-Sep-24
17INR31.898132.195932.04710-Sep-24
18ITL1.22081.23161.226210-Sep-24
19JPY18.692718.878318.785510-Sep-24
20KES20.873120.918820.89610-Sep-24
21KRW1.99072.00992.000310-Sep-24
22KWD8766.92398848.79738807.860610-Sep-24
23MWK1.43471.54411.489410-Sep-24
24MYR612.8618618615.430910-Sep-24
25MZM41.542241.892641.717410-Sep-24
26NLG1072.6371082.14931077.393210-Sep-24
27NOK247.3418249.7598248.550810-Sep-24
28NZD1642.86271659.56171651.212210-Sep-24
29PKR9.13419.69579.414910-Sep-24
30RWF1.99272.03612.014410-Sep-24
31SAR713.2717720.3661716.818910-Sep-24
32SDR3558.0543593.63463575.844310-Sep-24
33SEK258.1167260.6476259.382210-Sep-24
34SGD2049.59812068.98532059.291710-Sep-24
35UGX0.69270.72680.709810-Sep-24
36USD2676.98022703.752690.365110-Sep-24
37GOLD6696519.5056764241.756730380.627510-Sep-24
38ZAR149.6205151.0795150.3510-Sep-24
39ZMW98.5454102.4148100.480110-Sep-24
40ZWD0.50090.51110.50610-Sep-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news