Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Septemba 30,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 269.01 na kuuzwa kwa shilingi 271.65 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 158.34 na kuuzwa kwa shilingi 159.88.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Septemba 30, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 736.48 na kuuzwa kwa shilingi 743.76 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 173.58 na kuuzwa kwa shilingi 175.11.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.51 na kuuzwa kwa shilingi 0.52 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 3024.95 na kuuzwa kwa shilingi 3055.47.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1873.72 na kuuzwa kwa shilingi 1892.73 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3661.45 na kuuzwa kwa shilingi 3698.06.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 21.05 na kuuzwa kwa shilingi 210.09 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.45 na kuuzwa kwa shilingi 1.56.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.70 na kuuzwa kwa shilingi 0.74 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.92 na kuuzwa kwa shilingi 0.93.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2704.95 na kuuzwa kwa shilingi 2732 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8872.76 na kuuzwa kwa shilingi 8955.615.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3628.69 na kuuzwa kwa shilingi 3666.34 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.97 na kuuzwa kwa shilingi 2.05.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 2008.58 na kuuzwa kwa shilingi 2028.51 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 3214.82 na kuuzwa kwa shilingi 3245.43.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today September 30th,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED736.4818743.7656740.123730-Sep-24
2ATS173.5767175.1147174.345730-Sep-24
3AUD1873.71921892.72961883.224430-Sep-24
4BEF59.208859.732859.470830-Sep-24
5BIF0.9330.9350.93430-Sep-24
6CAD2008.57692028.51212018.544530-Sep-24
7CHF3214.82113245.42653230.123830-Sep-24
8CNY385.8152389.6512387.733230-Sep-24
9DEM1083.84441232.0181157.931230-Sep-24
10DKK405.6736409.7058407.689730-Sep-24
11ESP14.355214.481814.418530-Sep-24
12EUR3024.94623055.46883040.207530-Sep-24
13FIM401.7095405.2691403.489330-Sep-24
14FRF364.1217367.3425365.732130-Sep-24
15GBP3628.6913666.3443647.517530-Sep-24
16HKD348.0917351.5635349.827630-Sep-24
17INR32.339632.641632.490630-Sep-24
18ITL1.23351.24451.23930-Sep-24
19JPY18.955519.143719.049630-Sep-24
20KES21.050221.096521.073430-Sep-24
21KRW2.06832.08752.077930-Sep-24
22KWD8872.76298955.61538914.189130-Sep-24
23MWK1.44931.56031.504830-Sep-24
24MYR656.2229661.8217659.022330-Sep-24
25MZM41.989342.343542.166430-Sep-24
26NLG1083.84441093.45611088.650230-Sep-24
27NOK257.7616260.2524259.00730-Sep-24
28NZD1718.4551735.91281727.183930-Sep-24
29PKR9.25299.82639.539630-Sep-24
30RWF1.97142.05062.01130-Sep-24
31SAR721.1279728.3003724.714130-Sep-24
32SDR3661.44923698.06363679.756430-Sep-24
33SEK269.0101271.6462270.328230-Sep-24
34SGD2113.40762134.3752123.891330-Sep-24
35UGX0.70410.73880.721430-Sep-24
36USD2704.950427322718.475230-Sep-24
37GOLD7223543.24767296898.87260221.023830-Sep-24
38ZAR158.3398159.8774159.108630-Sep-24
39ZMW99.3112103.2112101.261230-Sep-24
40ZWD0.50620.51640.511330-Sep-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news