Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Septemba 6,2024

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2678.69 na kuuzwa kwa shilingi 2705.48 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8773.68 na kuuzwa kwa shilingi 8858.52.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Septemba 6, 2024 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3524.36 na kuuzwa kwa shilingi 3560.41 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.99 na kuuzwa kwa shilingi 2.4.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1981.57 na kuuzwa kwa shilingi 1995.21 huku Fraka Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 3165.55 na kuuzwa kwa shilingi 3196.83.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 260.88 na kuuzwa kwa shilingi 263.44 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 150.95 na kuuzwa kwa shilingi 152.33.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 729.35 na kuuzwa kwa shilingi 736.56 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 171.89 na kuuzwa kwa shilingi 173.41.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.50 na kuuzwa kwa shilingi 0.51 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2970.13 na kuuzwa kwa shilingi 3000.11.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1802.22 na kuuzwa kwa shilingi 1820.22 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3560.33 na kuuzwa kwa shilingi 3695.93.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 20.89 na kuuzwa kwa shilingi 20.93 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 1.43 na kuuzwa kwa shilingi 1.54.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.69 na kuuzwa kwa shilingi 0.73 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.92 na kuuzwa kwa shilingi 0.93.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today September 6th,2024;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED729.3525736.5658732.959206-Sep-24
2ATS171.8918173.4149172.653306-Sep-24
3AUD1802.22471820.51751811.371106-Sep-24
4BEF58.63459.15358.893506-Sep-24
5BIF0.92560.92910.927406-Sep-24
6BWP201.1698203.7226202.446206-Sep-24
7CAD1981.5752001.24271991.408806-Sep-24
8CHF3165.55553196.83333181.194406-Sep-24
9CNY377.7329381.4027379.567806-Sep-24
10CUC111.6122112.7283112.170306-Sep-24
11DEM1073.32331220.05861146.69106-Sep-24
12DKK398.1351402.0866400.110906-Sep-24
13DZD20.25820.376520.317306-Sep-24
14ESP14.215914.341314.278606-Sep-24
15EUR2970.13493000.10682985.120806-Sep-24
16FIM397.8099401.3351399.572506-Sep-24
17FRF360.5871363.7767362.181906-Sep-24
18GBP3524.35653560.41173542.384106-Sep-24
19HKD343.6777347.1101345.393906-Sep-24
20INR31.90432.20232.05306-Sep-24
21IQD2.04642.06372.05506-Sep-24
22IRR0.06380.06440.064106-Sep-24
23ITL1.22161.23241.22706-Sep-24
24JPY18.711218.89718.804106-Sep-24
25KES20.886520.932120.909306-Sep-24
26KRW2.00692.02622.016606-Sep-24
27KWD8773.68278858.51818816.100406-Sep-24
28MWK1.43531.54571.490506-Sep-24
29MYR617.851623.3825620.616806-Sep-24
30MZM41.568841.919441.744106-Sep-24
31NAD150.9123152.3356151.623906-Sep-24
32NGN1.69541.65981.677606-Sep-24
33NLG1073.32331082.84171078.082506-Sep-24
34NOK252.3569254.8157253.586306-Sep-24
35NZD1664.2721681.99691673.134506-Sep-24
36PKR9.13579.70589.420706-Sep-24
37QAR735.0969742.0406738.568706-Sep-24
38RWF1.99822.04412.021106-Sep-24
39SAR713.6141720.7118717.162906-Sep-24
40SDR3560.33063595.93393578.132306-Sep-24
41SEK260.8829263.4404262.161606-Sep-24
42SGD2059.10762079.53882069.323206-Sep-24
43TRY78.865679.639279.252406-Sep-24
44UGX0.69280.72690.709806-Sep-24
45USD2678.69312705.482692.086506-Sep-24
46GOLD6741440.06066810234.2566775837.158306-Sep-24
47ZAR150.9548152.3356151.645206-Sep-24
48ZMK98.9841102.87100.92706-Sep-24
49ZWD0.50130.51140.506306-Sep-24

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news