DAR-Hakuna jambo ambalo limekuwa likiwarudisha nyuma na hata kuwafilisi wafanyabiashara kama wizi, wafanyabiashara wengi wamekuwa wakilengwa sana na wezi maana wao ndio wenye fedha kila wakati.
Mimi ambaye ni mfanyabiashara wa kukodisha magari na kuuza, nimewahi sana kuumizwa na wezi hadi kuna wakati nilikaribia kujinyonga baada ya kupata hasara kubwa.
Hasara hiyo ni baada ya magari matatu yenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 200 kuibiwa katika mazingira ya kutatanisha yakiwa showroom.
Tulijaribu kuangalia katika kamera za ulinzi (CCTV Camera) na kuona wezi wale wakiwa wamejifunga vitambaa vyeusi machoni, mtindo wa kininja hivyo tukashindwa kuwatambua.
Polisi walifikia eneo la tukio na kuchukua maelezo pamoja na kufanya uchunguzi wao na kuondoka, huku wakitoa ahadi kuwa magari yangu yatapatikana.
Kila mara nilikuwa naenda kituo cha Polisi kuulizia iwapo yamepatikana, lakini niliambia bado, jambo hilo lilikuwa linanivunja moyo kwani nilijua wezi hao watakuwa tayari wameshauza hata bei ndogo ili wasije kukamatwa nayo.
Ikumbukwe hii ilikuwa sio mara ya kwanza kuibiwa, huku nyuma nilishwahi kuibiwa pikipiki sita kwa wakati mmoja na Polisi walifanikiwa kuzipata mbili tu kati ya hizo huku watuhumiwa wakitoroka.
Mdogo wangu ambaye anasoma Chuo Kikuu alikuja nyumbani na kuniambia ameona katika mtandao mtu ambaye anaweza kufanikisha kupatikana kwa mali zangu.
Nilimuuliza ni nani ndipo akaniambia ni Dr Bokko, alinipa na namba zake ambazo ni +255618536050.
Niliwasiliana naye mara moja na kumueleza shida yangu, Dr Bokko aliniambia baada ya siku tatu yale magari yangu yatapatikana, lakini kesho yake asubuhi nilipigia simu na Polisi na kuambiwa kuwa magari yangu yamepatiana kwa mfanyabiashara mwenzangu wa jirani.
Alipohojiwa alidai kuwa alitaka kunifilisi ili abakie pekee yake akiiuza magari katika mtaa ule, mimi nilichukua magari yangu, huku Polisi wakiondokana naye kwa ajili ya kumfikisha mahakamani.