Hotuba ya Waziri Mkuu kwa niaba ya Rais Dkt.Samia mkutano wa UNGA79 yagusa maeneo sita muhimu

NA DIRAMAKINI

SEPTEMBA 27,2024 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Kassim Majaliwa alihutubia Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA79) jijini New York nchini Marekani. 


"Ujumbe wa Tanzania niliouwasilisha Septemba 27, 2024 kwenye Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA 79) kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan jijini New York, Marekani;
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akihutubia kwenye Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA79) New York nchini Marekani, Septemba 27, 2024. Mheshimiwa Majaliwa alimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano huo.Mheshimiwa Majaliwa alihutubia kwenye mkutano huo akiwa ni Waziri Mkuu wa Pili kuhutubia Baraza la Umoja wa Mataifa. Septemba 27, 2010 aliyekuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alihutubia baraza la 65 (UNGA65).

Ufuatao chini ni ujumbe alioauandika Mheshimiwa Waziri Mkuu kupitia mitandao yake ya kijamii leo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news