Kamati ya Bunge yatembelea na kukagua miradi ya DAWASA

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Maji na Mazingira,Mhe. Jackson Kiswagwa (Mb) (wa tatu kushoto) akizungumza na wajumbe wa kamati wakati wa ziara ya kutembelea na kukagua utekelezaji wa miradi ya uboreshaji Usafi wa Mazingira Dar es Salaam yenye lengo la kuimarisha Usafi wa Mazingira na kuondoa uwezekano wa kutokea kwa magonjwa ya mlipuko kwa wananchi. Wa pili kulia ni Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb), wa kwanza kulia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Juma Simba Gadafi, wa pili kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Mwajuma Waziri na wa kwanza kushoto ni Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Mkama Bwire.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Maji na Mazingira,Mhe. Jackson Kiswagwa (Mb) akizungumza na wajumbe wa kamati wakati wa ziara ya kutembelea na kukagua utekelezaji wa miradi ya uboreshaji Usafi wa Mazingira Dar es Salaam yenye lengo la kuimarisha Usafi wa Mazingira na kuondoa uwezekano wa kutokea kwa magonjwa ya mlipuko kwa wananchi.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Maji na Mazingira,Mhe. Jackson Kiswagwa (Mb) (wa tatu kushoto) akizungumza na wajumbe wa kamati wakati wa ziara ya kutembelea na kukagua utekelezaji wa miradi ya uboreshaji Usafi wa Mazingira Dar es Salaam yenye lengo la kuimarisha Usafi wa Mazingira na kuondoa uwezekano wa kutokea kwa magonjwa ya mlipuko kwa wananchi. Wa pili kulia ni Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb), wa kwanza kulia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Juma Simba Gadafi, wa pili kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Mwajuma Waziri na wa kwanza kushoto ni Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Mkama Bwire.
Waziri wa Maji, Mheshimiwa Juma Aweso akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Maji na Mazingira (hawapo pichani) wakati wa ziara ya kutembelea na kukagua utekelezaji wa miradi ya uboreshaji Usafi wa Mazingira Dar es Salaam yenye lengo la kuimarisha Usafi wa Mazingira na kuondoa uwezekano wa kutokea kwa magonjwa ya mlipuko kwa wananchi.
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA, Mhandisi akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Maji na Mazingira (hawapo pichani) wakati wa ziara ya kutembelea na kukagua utekelezaji wa miradi ya uboreshaji Usafi wa Mazingira Dar es Salaam yenye lengo la kuimarisha Usafi wa Mazingira na kuondoa uwezekano wa kutokea kwa magonjwa ya mlipuko kwa wananchi.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Maji na Mazingira wakiwa katika kikao kifupi wakati wa ziara ya kutembelea na kukagua utekelezaji wa miradi ya uboreshaji Usafi wa Mazingira Dar es Salaam yenye lengo la kuimarisha Usafi wa Mazingira na kuondoa uwezekano wa kutokea kwa magonjwa ya mlipuko kwa wananchi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news