Magazeti leo Septemba 10,2024

TANGA-Mwili wa aliyekuwa Mjumbe wa Sekretarieti ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Ali Mohamed Kibao umezikwa kijijini kwao Darigube katika Kata ya Tongoni jijini Tanga, huku maelfu ya waombolezaji wakiongozwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mheshimiwa Hamad Masauni wakihudhuria maziko hayo.
Kibao ambaye alikuwa ni mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA anadaiwa jioni ya Septemba 6, 2024 maeneo ya Kibo Complex Tegeta jijini Dar es Salaam akiwa safarini kwa basi la Tashrif kutoka Dar es Salaam kuelekea Tanga na basi la hilo alishushwa kwenye basi hilo na kuchukuliwa na watu wasiojulikana majina yao na walipotokea.


























Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news