Magazeti leo Septemba 12,2024

GEITA-Waziri wa Maji, Jumaa Awesso ameagiza Wakala wa Majisafi na Usafi wa Mazingira (RUWASA) kuhakikisha Mfumo wa Malipo wa Kielektroniki (GePG) haugeuzwi kikwazo cha huduma za maji nchini.
Amesema kwa sasa Jumuiya za Watumuiaji Maji Ngazi ya Jamii (CBWSOs) zimejumuishwa kwenye matumizi ya GePG, lakini imebainika zinapata changamoto zinapohitaji fedha za matengenezo ya dharura.

Mheshimiwa Aweso ametoa maelekezo hayo wakati akizungumza kwenye hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi katika mradi wa maji wa Bwanga uliopo wilayani Chato mkoani Geita.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news