Magazeti leo Septemba 13,2024












Kanipa adhabu kwa kuniambukiza Kaswende!

GEITA-Sikuwahi kuwaza kama kuna siku mpenzi wangu ambaye nilimpenda kwa moyo wangu wote anaweza kunifanyia jambo la kuniumiza moyo wangu pamoja na mwili wangu.

Jina langu ni Ray, kina wa miaka 25, nilikuwa katika mahusiano na binti mmoja aitwaye Mum ambaye ana kama miaka 26, katika mapenzi yetu kuna kipindi tulikuwa tunaachana na kurudiana.

Nakumbuka mwezi uliopita alikuta SMS kwenye simu yangu ambazo nilikuwa ninachati na mwanamke ambaye nilikuwa natembea naye kwa kificho.

Kutokana na SMS zile zilikuwa wazi sana kuonyesha sisi tulikuwa ni wapenzi, nilishindwa kukataa kwamba sijafanya jambo na mwanamke yule.

Kwa kuonyesha najali hisia zake, niliamua kumuomba msamaha, lakini alikataa na kuniambia atanionyesha na akachukua vitu vyake pale ghetto akaondoka kwenda nyumbani kwao.

Baada ya siku mbili alinipigia simu na kuniambia ameamua kunisamehe, aliniuliza kama nipo nyumbani nikamjibu nipo, akaniambia anakuja kunisalimia.

Alipokuja baada ya maongezi ya hapa na pale tukaamua kuchangamsha damu kidogo kama ilivyo kawaida yetu kila akiibuka ghetto.

Sasa tatizo lilianza kama siku mbili mbele pale nilipoanza kuwasha sehemu za siri, nilienda Hospitali kupima nikaambiwa ni Kaswende ugonjwa ambao uliwahi kunitesa miaka ya nyuma hadi pale nilipata tiba kwa Dr Bokko.

Nilimpigia mpenzi wangu na kumwambia ninaumwa, alichojibu ni kwamba anajua hilo na yeye ndiyo kaniambuza kwa makusudi kama adhabu kwa kumsaliti.

Sikuwa na jinsi zaidi ya kuchukua simu yangu na kumpigia tena Dr Bokko kwa namba hii +255618536050 na kumuomba anisadie tena tiba ya Kaswende maana ugonjwa huo unanikosesha sana amani.

Basi alinihudumia kama ilivyo kawaida yake na baada ya muda niliweza kupona na sasa nimeamua kuwa nitatulia na mwanamke mmoja katika maisha yangu.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news