MORONI-Afisa mmoja wa Jeshi la Polisi nchini Comoro anashikiliwa na vyombo vya Ulinzi na Usalama kwa tuhuma za kumshambulia Rais Azali Assoumani kwa kisu, ni baada ya kwenda kutoa rambirambi zake kwa familia ya shehe mmoja katika mji wa Salimani katikati ya kisiwa cha Ngazija.Soma kwa kina hapa》》》
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo