Magazeti leo Septemba 17,2024

DAR-Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kwa kushirikiana na Kituo cha Ubia wa Sekta za Umma na Binafsi (PPP) wanatarajia kujenga mabweni ya wanafunzi kwa ubia utakaogharimu shilingi bilioni 20.7.

Mkuu wa chuo hicho, Profesa Edda Lwoga ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari chuoni hapo jijini Dar es Salaam ambapo yatajengwa kampasi kuu ya Dar es Salaam yakiwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi 2,728 hivyo kupunguza pengo kubwa la malazi kwa wanafunzi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news