Magazeti leo Septemba 19,2024














Kwa nini ni vigumu kwa wanawake wasomi kuolewa?

DAR-Kuna mtu mmoja katika mtandao wa Twitter aliuliza kwa nini mahusiano au ndoa za watu ambao hawajasoma zinadamu kuliko za wale ambao wana elimu kubwa?.

Swali hilo lilikuwa likigusa maisha yangu kwani nilikuwa mwanamke ambaye kila mara nilijikuta katika mahusiano mapya, suala la elimu yangu lilifanya wanaume kuugopa kunioa.

Jina langu ni Saumu, nina shahada mbili upande IT, nimeajiriwa katika kampuni fulani nikiwa kama Mkuu wa Kitengo, nimefanya kazi hii kwa zaidi ya miaka 10.

Naweza kusema katika maisha yangu upande wa elimu na kazi sijapitia changamoto nyingi kama zile nilizopitia upande wa mahusiano, huku nimezungushwa sana hadi nafikisha umri wa miaka 40 nilikuwa sijaolewa.

Kila mwanaume niliyekuwa naye katika mahusiano nikimwambia umefika wakati sasa tufunge ndoa au akajitambulishe kwa wazazi wangu alikuwa anatafuta sababu ya kukimbia.

Baadhi ya watu wanasema wanaume wengi wanaogopa kuoa wanawake wasomi kutokana wanaona ni vigumu kuwasimamia kitu ambacho naona sio kweli.

Mimi kama mke nina wajibu wa kumtii na kumjali mume wangu, siwezi kuwa na kiburi au kufanya jeuri kisa nimesoma au nimemzidi elimu, hapana!.

Hata mume wangu wa sasa ni shahidi katika hilo na mwenyewe anasema hakutarajia kama ni mtu wa hivyo, kwani hata mwanzo tulivyofunga ndoa alikuwa na aina fulani ya wasiwasi.

Nakumbuka baada ya mahusiano yangu kama ya nne kuvunjika, niliamua kutafuta njia mbadala, hiyo ni baada ya kuona nimefikisha miaka 38 bila kuolewa jambo ambalo lilifanya hata nyumbani kwetu kuanza kuniuliza maswali.

Katika kutafuta wapenzi waaminifu katika mtandao, nilijikuta nimeingia kwenye mtandao wa Dr Bokko, hapa nilipata kufahamu kuwa anaweza kuwasaidia wanawake kupata wanaume kwa muda mfupi tu.

Hatimaye nilichukua namba yake ambayo ni +255618536050 na kuwasiliana naye mara moja, Dr Bokko aliniambia licha ya umri wangu wa miaka 38 nisiwe na hofu kwani nitapata mume tena mwenye viwango.

Nilingojea kwa hamu kuona hilo likitimia katika maisha yangu maana ilifika hatua hadi naogopa kwenda nyumbani kusalimia kwa kuhisi wataanza kuniuliza kwanini hadi sasa sijaolewa.

Jioni moja nikiwa natokea kazini niliita Uber ije inichukue, kufika yule dereva wa Uber alikuwa ni rafiki yangu wa miaka mingi ambaye tulikuwa tumeshibana kipindi tunasoma sekondari.

Yule kaka alifurahi sana kukutana na mimi na kuniambia kuna wakati walitafuta mawasiliano yangu bila mafanikio, tulizungumza mengi na akanipeleka hadi nyumbani na kumuonyesha ninapoishi.

Tulibadilishana namba za simu na akaniahidi kwamba wikiendi atakuja kunitembelea.

Wikiendi iliyofuatia alikuja nyumbani tukakaa na kuzungumza, alinieleza kwamba kuna wakati alioa ila alikuja kuachana na mkewe miaka mitatu iliyopita na sasa hana mtu.

Sikutaka kujirahisisha kwake, tuliendelea kuwasiliana na kutembeleana hadi pale yeye mwenyewe aliponitamkia kuwa ananipenda na anataka kunioa.

Nilifurahi sana kusikia hivyo, mara moja tulianza michakato ya kutambulishana kwa wazazi kwa pande zote mbili na hatimaye tulifunga ndoa na sasa tumejaliwa kupata mtoto mmoja.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news