Magazeti leo Septemba 24,2024

DODOMA-Madaktari bingwa na bobezi 50 wa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan wamepokelewa mkoani Dodoma na Mkuu wa mkoa huo, Mhe. Rosemary Senyamule na kuwataka kwenda kuwahudumia wananchi wa mkoa huo kwa siku zote sita watakazokuwepo kwenye halmashauri zote nane za mkoa huo kwa moyo wa upendo na kuacha kumbukumbu hata wakiondoka.
Mheshimiwa Senyemule ameyasema hayo Septemba 23, 2024 wakati wa mapokezi ya madaktari hao watakaofanya kazi za Kibingwa na Bingwa Bobezi sambamba na kuwajengea uwezo watumishi wa afya waliopo kwenye ngazi za msingi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news