Magazeti leo Septemba 28,2024

DAR-Makumbusho ya Taifa la Tanzania imewataka Umoja wa Shule za Sekondari (TAHOSSA) kuwapeleka wanafunzi wao kufanya utalii katika Makumbusho hiyo ili waweze kujifunza historia na uzalendo wa nchini yao.Hayo yamebainishsa Septemba 26,2024 katika warsha maalum iliyoandaliwa na Kitengo cha Elimu cha Makumbusho ya Taifa kwa kushirikiana na Umoja wa Wakuu wa Shule za Sekondari Kanda ya Dar es Salaam (TAHOSSA) iliyofanyika katika Kituo cha Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni jijini Dar es Salaam kwa lengo la kubadilishana uzoefu katika masuala mbali mbali yanayohusu uendeshaji wa shule na namna bora ya kufundisha na kuendeleza maadili, uzalendo na malezi ya Kitanzania kwa watoto.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news