Magazeti leo Septemba 7,2024

MBEYA-Zaidi ya watu 10 wamefariki dunia na wengine 33 kujeruhiwa, baada ya basi lenye namba za usajili T 282 CXT mali ya Kampuni ya A N COACH lilokuwa likitokea jijini Mbeya kuelekea mkoani Tabora kuacha njia na kugonga gema kisha kupinduka katika eneo la Lwanjiro barabara ya Chunya.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mbeya, Wilbert Siwa amesema, tukio hilo limetokea Septemba 6,2024 majira ya saa 1.30 asubuhi huku ikielezwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi uliopelekea basi hilo kuacha njia.













Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news