ZANZIBAR-Wakala wa Chakula na Dawa Zanzibar (ZFDA) kwa kushirikiana na wakaguzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar (AAKIA) wamekamata mabegi manne yenye dawa za binadamu zilizoingizwa nchini zikitokea India kwa kutumia Shirika la Ndege la Ethiopia bila kufuata utaratibu.
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Dawa na Vipodozi, Sabrina Idrissa Ahmada amesema, dawa hizo si salama kwa watumiaji,kwani hazijasajiliwa na ZFDA.Soma zaidi hapa》》》
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo