Magazeti leo Septemba 9,2024

IRINGA-Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (USEMI) imezitaka halmashauri nchini kuwawezesha walimu na wataalamu wa afya wanaojitolea katika maeneo yao ili kuongeza ufanisi wa utoaji huduma.Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Justine Nyamoga ameyasema hayo mwishoni mwa wiki wakati wa kikao cha majumuisho ya ziara ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya elimu, miundombinu na afya inayotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news