Mama Mariam Mwinyi atembelea mradi wa kiwanda cha kutengeneza taulo za kike

ZANZIBAR-Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF), Mhe.Mama Mariam Mwinyi ametembelea kiwanda cha uzalishaji wa taulo za kike za Tumaini zinazotengenezwa na taasisi hiyo.
Katika ziara hiyo ameambatana na Bi. Marion Tasker, Mwenyekiti wa Taasisi ya “National Police Aid Charity” kutoka Uingereza, Mama Mariam Mwinyi alijionea maendeleo ya mradi huo wa kiwanda hicho kilichopo Mnara wa Mbao, Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi.


📅 11 Septemba, 2024

📍 Mnara wa Mbao, Mkoa wa Mjini Magharibi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news