DAR-Baada ya kufanya vibarua kwa miaka mingi kwenye viwanda vya Wahindi nilichoka na kuamua nianze mpango wa kujiari maana ndipo nasikia kuna faida na watu wengi wameweza kutoka kimaisha.
Ili kufikia lengo langu hilo nilianza kutunza fedha zangu nilizopata kila mwisho wa mwezi ingawa ilikuwa kwa kujinyima sana, sikuwa nakula chakula kizuri wala kuvaa nguo nzuri.
Baada ya kama mwaka mmoja na nusu niliweza kufungua duka la kuuza vyakula na hapo nikawa na matumaini tele kuwa naenda kuuwaga umaskini, lakini haikuwa hivyo hata kidogo.
Mtaa ule niliofungua duka pande za Magomeni, Dar es Salaam, biashara ilikuwa ni ngumu sana kuwahi kutokea, kuna siku niliishia kuuza Sh5,000 tu, hapo bado sijala, kununua umeme na bado mwisho wa mwezi natakiwa kulipa kodi ya fremu.
Lakini baadhi ya watu waliniambia biashara muda mwingine huchelewa kuchangamka, hivyo niwe na subira kwanza, nilifanya biashara ile kwa kipindi cha miezi sita, lakini sikuona dalili ya kupata wateja wengi.
Kadiri siku zilivyokuwa zinasonga ndivyo na mtaji wangu ulikuwa unaenda ukipungua, lakini cha kushangaza watu waliokuwa jirani yangu maduka yao yalikuwa yanauza sana.
Hapo ndipo nilipogundua kuna kitu cha ziada katika hizi biashara za mjini, hivyo nilianza kufanya uchunguzi wa namna naweza kuinua biashara yangu kimauzo kutokana naelekea kufilisika sasa.
Siku moja nikiwa kwenye mtandao wa YouTube nikitazama video za habari, niliona tangazo la Dr Bokko kuwa anaweza kuongeza mauzo katika biashara yangu. Nilichukua namba yake ambayo ni +255618536050 na kumpigia mara moja kutaka usaidizi wake.
Baada ya mazungumzo, Dr Bokko alinihakikishia kuwa biashara yangu itaanza kuchangamka ndani ya siku tatu, basi baada ya siku kama mbili hivi kupita wateja walianza kuja kwa wingi bila kujua ni wapi hasa wanatokea.
Walikuja wengi hadi wanataka bidhaa ambazo sikuwa nazo dukani kwangu, hilo lilinifanya nikachukua mkopo sehemu niweze kuagiza bidha nyingi zaidi.
Biashara ilikuwa kwa kasi sana hadi kufikia kiwango cha kuamua kuajiri kijana kwa ajili ya kuuza huku mimi nikishughulika upande wa kuleta bidhaa.
Ndani ya mwaka mmoja tangu niongee na Dr Bokko nimeweza kufungua na duka lingine kubwa la bidhaa za jumla ambalo kwa sasa anasimamia mke wangu.
Ama kwa hakika bila mtu huyu aliyesaidia wengi ukanda wa Afrika Mashariki ungekuta nimeshafunga duka na kurejea kwenye vibarua vile vya Wahindi vyenye malipo kidunchu na manyanyaso mengi.