SINGIDA-Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), Raymond Mndolwa leo Septemba 7,2024 amemuonesha Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Dkt.Mwigulu Nchemba (Mb) ramani ya jiografia ya bonde la umwagiliaji Ulemo-Zinziligi-Mbelekese lililopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Iramba mkoani Singida.

Tags
Habari
Picha
Picha Chaguo la Mhariri
Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC)
Wizara ya Fedha Tanzania